• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi |
    • Barua pepe za Watumishi |
Uyui  District Council
Uyui  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Kimsingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Administration and Human Resource
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Envinment and Sanitation
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za baraza la madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Mwekekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba Mbalimbali

MADIWANI UYUI WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 34.2 MWAKA UJAO WA FEDHA

Imewekwa: February 16th, 2021

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui limepitisha mapendekezo ya makisio ya shilingi bilioni 34.2 kwa ajili ya mapato na matumizi ya mwaka ujao wa fedha.

Madiwani hao wamepitisha mapendekezo hayo jana katika kikao cha Baraza la kupitia makisio ya mapato na matumizi ya mwaka ujao wa fedha wa 2021/22.

Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Said Ntahondi alisema vyanzo vya fedha hizo ni pamoja na mapato ya ndani ya shilingi bilioni ambapo wamelenga kukusanya shilingi bilioni 3 , ruzuku ya Serikali kuu shilingi bilioni 29.6, michango ya wadau wa maendeleo bilioni 1.2 na nguvu za wananchi zitachangia milioni 350.

Alisema vipaumbele katika bajeti ijayo vimejikita katika kuimarisha kilimo kwa kuanzisha mashamba darasa katika Kata 30, kuanzisha mashamba ya vitalu na mashamba ya mikorosho, kuboresha huduma za ugani kwa kununua pikipki 5 kwa Maafisa Ugani ili wawafikie wakulima kirahisi kwa ajili ya kuwapa msaada wa kuboresha huduma zao.

Ntahondi alisema vipambaumbele vingine ni kuboresha huduma ya uongeshaji wa mifugo  kwa kujenga majosho manne ya mifugo, kuanzisha mashamba darasa ya malisho ya mifugo katika Taarafa zote tatu za Wilaya ya Uyui na kuboresha miundombinu ya elimu kwa ngazi ya  msingi na Sekondari.

Aliongeza vingine  ni kuandaa mipango ya matumizi bora ya ardhi kwa vijiji 3 , kuanzisha Benki ya Ardhi kwa ajili ya kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya Wilaya hiyo kwenda kuweka na kupima viwanja 1,000.

Ntahondi alisema kuwa bajeti ijayo pia imekusudia kuboresha ujenzi wa miundombinu ya Hospitali ya Wilaya, Vituo vya Afya na kuendeleza ujenzi wa Zahanati 6  na kununua gari la kubeba wagonjwa.

Awali Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Hemed Magaro akiwasilisha mapato mapato na matumizi kwa kipndi cha kufikia Desemba mwaka uliopita alisema kuwa walikadiria kukusanya na kutumia shilingi bilioni 32.2 katika mwaka wa fedha uliopita kutoka vyanzo mbalimbali.

Alisema hadi kufikia Desemba , 2020 walikuwa wametumia shilingi bilioni 13.4 ikiwa ni sawa na silimai 43 ya makisio yao.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 19, 2020
  • Soma zote

Habari Mpya

  • MADIWANI UYUI WAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 34.2 MWAKA UJAO WA FEDHA

    February 16, 2021
  • MKUU WA WILAYA AKAGUA MIRADI YA UJENZI WA MADARASA HALAMASHAURI YA WILAYA UYUI

    January 06, 2021
  • VIKUNDI 14 VYA UYUI VYAKOPESHWA MILIONI 102.5

    December 15, 2020
  • TANGAZO LA UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZIA TAREHE 17/06/2020 HADI TAREHE 20/06/2020

    June 14, 2020
  • Soma zote

Video

SAMIA SULUH
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari Mpya

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Tabora RAS
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani
  • Watumishi Portal
  • Tabora MC

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Uyui District Council

    Anuani ya Posta: S.L.P 610

    Simu ya Mezani: +255 26 296 6008

    Simu ya Mkononi: +255 766616985

    Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.