Mnano tarehe 08/06/2020 Mkuu wa Wilaya Mhe. Gift Msuya ,Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Uyui Mhe.Said Ntahondi, Mbunge wa Tabora Kaskazini Mhe. Almas Maige (Yayakwibyeda),Mkurugenzi Mtendaji ,Mganga Mkuu wa Wilaya ,kamati ya ujenzi na wananchi wa Uyui wamezindua matibabu rasmi katika Hospitali mya ya Wilaya ya Uyui iliyopo Kata ya Isikizya.
Uyui District Council
Anuani ya Posta: S.L.P 610
Simu ya Mezani: +255 26 296 6008
Simu ya Mkononi: +255 766616985
Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz
Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.