• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi |
    • Barua pepe za Watumishi |
Uyui  District Council
Uyui  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Kimsingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Administration and Human Resource
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Envinment and Sanitation
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za baraza la madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Mwekekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba Mbalimbali

TEHAMA

UTANGULIZI

Halmashauri ya Wilaya ya Tabora ni miongoni mwa Halmashauri zinazotekeleza muundo mpya wa Halmashauri ambao uliidhinishwa 08.07.2011 na Waziri Mkuu Mh Mizengo P Pinda. Kwa sasa kitengo kina mtumishi mmoja ambaye ni TEHAMA. Toka kuanzishwa kwake hadi sasa kitengo hiki kimejitahidi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa ili kuweza kufanikisha lengo namba 9 la Serikali ambalo ni kuimarisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Jukumu kubwa la kitengo hiki ni Kusimamia masuala yote ya Habari na Mawasiliano ya Halmashauri halikadhalika kusimamia mifumo yote ya TEHAMA. Kitengo hiki kimegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni:

  • Habari na uhusiano
  • TEHAMA

Majukumu ya Kitengo 

  • Kuandaa miadi ya mkurugenzi kukutana na kuongea na vyombo mbalimbali vya habari
  • Kutoa ufafanuzi kwa vyombo vya habari na jamii kwa masuala mbalimbali yanayohusiana na Halashauri kwa kufuata maelekezo ya mkurugenzi
  • Kuandaa machapisho mbalimbali kwa ajjili ya kuhabarisha jamii kuhusiana na masuala mbalimbali ya halmashauri (machapisho kama vile vipeperushi, jarida, )
  • Kuandaa mkutano wa waandishi wa habari (Press Conference) baina ya mkurugenzi/Mheshimiwa Mwenyekiti na waandishi wa habari.
  • Kuratibu na kusimamia waandishi wa habari katika shughuli mbalimbali za Halmashauri kama vile baraza.
  • Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri inaandaliwa na inafanya kazi.
  • Kuhakikisha Halmashauri inasajili na kutumia barua pepe za serikali (Government Mailing System) kwa ajili ya kutuma na kupokea taarifa za kiserikali.
  • Kusimamia mawasiliano ya ndani na nje ya ofisi (Internal and External Communication)
  • Kusimamia Mifumo yote ya Halmashauri,ifuatayo ni mifumo inayosimamiwa
  • Mfumo wa Hcmis(Lawson)
  • Mfumo wa Rasilimali Fedha (Epicor)
  • Mfumo wa Prem
  • Mfumo wa Bemis
  • Mfumo wa Mapato ( Lgrcis)
  • Kusimamia Mashine za kieletroniki zinazokusanya Mapato (Pos Machine)

Kusimamia Matengenezo yote ya vifaa vya Tehama kwa kuhakikisha vifaa vyote vipo katika hali nzuri

Matangazo

  • TANGAZO LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA April 18, 2024
  • TANGAZO LA MKOPO KWA UMMA October 04, 2024
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) 2024 September 06, 2024
  • Soma zote

Habari Mpya

  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA TABORA KATIKA WILAYA YA UYUI TAREHE 6 JANUARI 2024

    January 06, 2025
  • MAELEKEZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 26 SEPTEMBA 2024

    September 27, 2024
  • UYUI DC YAFANYA DUA NA SALA MAALUM KWA NCHI NA VIONGOZI WA NCHI KUELEKEA MAAZIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

    April 22, 2024
  • MHE. ZAKARIA MWANSANSU MKUU WA WILAYA YA UYUI AKISISITIZA MAMBO MUHIMU KATIKA KUELEKEA KUAZIMISHA MUUNGANO WA MIAKA 60 WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

    April 19, 2024
  • Soma zote

Video

SAMIA SULUH
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari Mpya

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Tabora RAS
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani
  • Watumishi Portal
  • Tabora MC

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Uyui District Council

    Anuani ya Posta: S.L.P 610

    Simu ya Mezani: +255 26 296 6008

    Simu ya Mkononi: (1) +255 768867886

    Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.