WILAYA YA UYUI IMEADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA UYUI AMBAPO MAADHIMISHO HAYA YAMEUDHULIWA NA MWAKILISHI KUTOKA OFISI YA MKUU WA WILAYA, OFISI YA MKURUGENZI, WADAU MBALIMNALI PAMOJA NA WANANCHI WA WILAYA YA UYUI. KWA PAMOJA WAMESHIRIKIANA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO YA HOSPITALI YA WILAYA NA KUWASII WATU KUJITOKEZA KATIKA UPIMAJI WA VVU KWA HIYARI. PIA ALIZUNGUMZIA NJIA ZA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI NA NAMNA YA KUJIKINGA NA NAMNA YA KUTOWANYANYAPA WAGONJWA AU WAATHIRIKA WA VIRUSI VYA UKIMWI.
"JAMII IONGOZE KUTOKOMEZA UKIMWI'
Uyui District Council
Anuani ya Posta: S.L.P 610
Simu ya Mezani: +255 26 296 6008
Simu ya Mkononi: (1) +255 768867886
Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz
Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.