• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi |
    • Barua pepe za Watumishi |
Uyui  District Council
Uyui  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Kimsingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Administration and Human Resource
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Envinment and Sanitation
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za baraza la madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Mwekekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba Mbalimbali

Maendeleo ya Jamii

MAENDELEO YA JAMII

Idara ya Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana ni miongoni mwa Idara zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Tabora (Uyui) kwa mujibu wa maelekezo ndani ya Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Idara hii inajumla ya vitengo vikuu vifuatavyo:-

  • Maendeleo ya Jamii
  • Ustawi wa Jamii
  • Vijana

MAJUKUMU YA IDARA

  • Jukumu kuu la idara ni kutekeleza Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Jamii katika nyanja mbalimbali kwa kuzingatia umri, rika na jinsi bila ubaguzi wa aina yeyote (rangi,utaifa,kabila,dini,mila na desturi). ili kuleta ustawi na maendeleo kuanzia mtu mmoja mmoja, familia na jamii kwa ujumla.

MAJUKUMU YA VITENGO VYA IDARA

1. MAENDELEO YA JAMII

  • Kitengo hiki ndio kilichobeba Jina la Idara na ndio msingi wa dhana mama ya Maendeleo katika Jamii.  Kitengo hiki kimegawanyika katika Sehemu Kuu zifuatazo:-

a). Jinsia na Maendeleo ya Watoto

Majukumu

  • Kuratibu shughulia zote za Maendeleo ya Wanawake na Watoto.
  • Kuingiza suala la jinsia katika mipango yote ya Maendeleo ya Jamii.
  • Kutoa mafunzo kwa wanawake kupitia vikundi vya uzalishaji mali na utoaji huduma juu ya wajibu na nafasi ya wanawake katika Jamii.
  • Kuratibu mfuko wa Wanawake (WDF) na kutoa Mikopo kwa vikundi vya kinamama.
  • Kusajili CBO’s na viiundi mbalimbali vya ujasiliamali katika Jamii
  • Kusimamia utendaji kazi wa Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kuzingatia mipango iliyoidhinishwa katika Wilaya.
  • Kuratibu shughuli za kupunguza Maambukizi ya VVU na UKIMWI katika Wilaya.
  • Kusimamia na kuratibu Maadhimisho mbalimbali ya Kitaifa yanayoadhimishwa katika wilaya.

b). Utafiti na Mipango

  Majukumu 

  • Kubuni mbinu mbalimbali za kushirikisha wananchi katika Mipango ya Maendeleo.
  • Kufanya utafiti wa kina juu ya Miradi inayopendekezwa na Wananchi na kutoa taarifa.
  • Kutoa huduma kwa wananchi kupitia Jumuiya, Vikundi vya uzalishaji na usimamizi wa Miradi ya kiuchumi.
  • Kukusanya takwimu mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya shughuli katika Jamii.
  • Kushirikiana na wadau mbalimbali kutafuta masoko ya bidhaa zinazozalishwa na vikundi vya ujasiliamali katika wilaya.

2. USTAWI WA JAMII

  • Majukumu
  •  
  • Kusikiliza na kutatua mashauri mbalimbali ya migogoro katika jamii mf. Migogoro ya ndoa, Matunzo kwa watoto, Mirathi n.k.
  • Kusajiri na kukagua vituo vya kulelea watoto wadogo (Day Care Centre) kwa mujibu wa sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009.
  • Kuratibu shughuli za usajili na ukaguzi wa vituo vya kulelea watoto walio katika mazingira hatarishi.
  • Kuratibu huduma za Msingi kwa watoto wanaoishi katika Mazingira hatarishi kwa mujibu wa Mpango kazi wa kitaifa wa kuhudumia WWKMH
  • Kuratibu na kusimamia Ulinzi na Usalama wa Mtoto kuanzia ngazi ya Kijiji, Kata na Wilaya.
  • Kusimamia haki za watoto walio katika mkinzano na sheria Mahakamani.
  • Kuratibu na kusimamia shughuli zote za huduma kwa wazee.
  • Kuratibu na kusimamia shughuli zote na huduma zinazowahusu watu wenye ulemavu.
  • Kukusanya takwimu za watu walio katika makundi maalumu (Watoto, Wazee na Watu wenye Ulemavu).
  • VIJANA

Majukumu

  • Karatibu mfuko wa Maendeleo ya vijana.
  • Kutoa mafunzo/Elimu kwa vijana kupitia vikundi vya uzalishaji mali.
  • Kuhamasisha / Vijana kuunda vikundi kuunda vikundi vya uzalishaji mali na umuhimu wa kuwa na vikundi vya vijana katika jamii.
  • Kutoa mikopo kwa vikundi vya vijana kwenye mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
  • Kuratibu shughuli za mwenge wa uhuru.
  • Kushughulikia/ kusimamia utendaji kazi wa Asasi zisizo kuwa za kiserikali zinazojihusisha na Vijana.

 Kuratibu maadhimisho mbalimbali ya Kitaifa yanayoadhimishwa katika Wilaya.

3. VIJANA

Majukumu

  • Karatibu mfuko wa Maendeleo ya vijana.
  • Kutoa mafunzo/Elimu kwa vijana kupitia vikundi vya uzalishaji mali.
  • Kuhamasisha / Vijana kuunda vikundi kuunda vikundi vya uzalishaji mali na umuhimu wa kuwa na vikundi vya vijana katika jamii.
  • Kutoa mikopo kwa vikundi vya vijana kwenye mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
  • Kuratibu shughuli za mwenge wa uhuru.
  • Kushughulikia/ kusimamia utendaji kazi wa Asasi zisizo kuwa za kiserikali zinazojihusisha na Vijana.
  • Kuratibu maadhimisho mbalimbali ya Kitaifa yanayoadhimishwa katika Wilaya.

Matangazo

  • TANGAZO LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA April 18, 2024
  • TANGAZO LA MKOPO KWA UMMA October 04, 2024
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) 2024 September 06, 2024
  • Soma zote

Habari Mpya

  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA WA TABORA KATIKA WILAYA YA UYUI TAREHE 6 JANUARI 2024

    January 06, 2025
  • MAELEKEZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 26 SEPTEMBA 2024

    September 27, 2024
  • UYUI DC YAFANYA DUA NA SALA MAALUM KWA NCHI NA VIONGOZI WA NCHI KUELEKEA MAAZIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

    April 22, 2024
  • MHE. ZAKARIA MWANSANSU MKUU WA WILAYA YA UYUI AKISISITIZA MAMBO MUHIMU KATIKA KUELEKEA KUAZIMISHA MUUNGANO WA MIAKA 60 WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

    April 19, 2024
  • Soma zote

Video

SAMIA SULUH
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari Mpya

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Tabora RAS
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani
  • Watumishi Portal
  • Tabora MC

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Uyui District Council

    Anuani ya Posta: S.L.P 610

    Simu ya Mezani: +255 26 296 6008

    Simu ya Mkononi: (1) +255 768867886

    Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.