1. Jukumu la Idara ya maji ni kuhakikisha wakazi wa wilaya ya Uyui wanapata huduma ya maji safi na salama kwa kujenga miradi mipya ya maji na kukarabati miradi iliyopo.
2.Kazi za idara
-Kufanya utafiti wa vyanzo vya maji
-Kujenga miradi ya maji vijijini
-Kufanya matengenezo ya miradi ya maji
-Kuunda vyombo vya watumiaji maji
-Kuelimisha jamii juu ya utunzaji wa miradi ya maji na vyanzo vya maji
3.VYANZO VYA MAJI VILIVYOPO
Vyanzo vya maji vinavyotumika kwa wakazi wa wilaya ya Uyui ni visima virefu vilivyofungwa pampu za mkono,Visima vifupi vilivyofungwa pampu za mkono , visima virefu vilivyofungwa Engine ya Diesel na visima virefu vilivyofungwa engine ya umeme , Visima vya asili vilivyoboreshwa na Malambo
Uyui District Council
Anuani ya Posta: S.L.P 610
Simu ya Mezani: +255 26 296 6008
Simu ya Mkononi: (1) +255 768867886
Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz
Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.