Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui Bi Leokadia G. Humera anawatakia Wananchi na Watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui Maonyesho ya NaneNane yenye Amani na Utulivu . Maonyesho haya Kimkoa yanafanyika katika Viwanja vya Ipuli Mnadani Tabora Tarehe 8/8/2025.
Uyui District Council
Anuani ya Posta: S.L.P 610
Simu ya Mezani: +255 26 296 6008
Simu ya Mkononi: (1) +255 768867886
Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz
Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.