Usafi na Mazingira
Malengo ya Idara
Kuwachukulia hatua kali za kisheria watu wote wanaojihusisha na vitendo vya kuchafua mazingira bila kufuata miongozo elekezi ya wasimamizi wa mazingira
- Kutekeleza sheria ya mazingira namba 20 ya mwaka 2004 na sheria ndogo za (Usafi wa Mazingira) za Halmashauri ya Wilaya ya Tabora 2015
- Kuandaa mfumu Ratiba zinazoelekeza utaratibu wa shughuli zinazopashwa kufanyika kwa siku za usafi wa Mazingira za jumamosi ya mwisho mwa kila mwezi siku ya Kitaifa ya usafi wa Mazingira
MAJUKUMU YA AFISA MAZINGIRA
Afisa Mazingira anafanya kazi kulingana na mwongozo wa Sheria ya Mazingira namba 20 ya Mwaka 2004 na Muundo wa Wizara inayosimamia Mazingira chini ya Ofisi ya Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majukumu makuu ya Maofisa Mazingira yamegawanyika katika makundi makuu mawili:
USAFI WA MAZINGIRA
Usafi
Idara anafanya kazi ya usafi kwa kufanya kazi zifuatazo:
MAZINGIRA
Idara anafanya kazi zifuatazo:
Uyui District Council
Anuani ya Posta: S.L.P 610
Simu ya Mezani: +255 26 296 6008
Simu ya Mkononi: (1) +255 768867886
Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz
Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.