Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Uyui Bi. Leokadia Gotham Humera anawakaribisha Wananchi na Watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui kwenye Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2025 Kimkoa (Mkoa wa Tabora) katika Shule ya Sekondari Tura na kukesha pamoja Stendi ya Kigwa Tarehe 26 Julai 2025.
Uyui District Council
Anuani ya Posta: S.L.P 610
Simu ya Mezani: +255 26 296 6008
Simu ya Mkononi: (1) +255 768867886
Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz
Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.