• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi |
    • Barua pepe za Watumishi |
Uyui  District Council
Uyui  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Kimsingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Administration and Human Resource
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Envinment and Sanitation
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Elimu
    • Huduma za Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za baraza la madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya Mwekekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Hotuba Mbalimbali

MKUU WA WILAYA YA UYUI AGAWA PIKIPIKI NANE KWA WATENDAJI WA KATA

Imewekwa: February 28th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Uyui Zakaria Mwansasu amegawa pikipiki nane (8) kutoka Ofisi ya Rais -TAMISEMI ambazo zimetolewa kwa watendaji wa kata wa Halmashauri ya Wilaya Uyui mkoani Tabora.

Mwansasu amewaasa watendaji kulinda na kutunza pikipiki hizo . "Leo hii mnapewa pikipiki zikiwa mpya kila kitu kipo isije baada ya siku mbili tatu pikipiki hiyo ikawa haina taili umebadilisha umeweka taili la zamani ulikuwa labda na pikipiki yako ya zamani ukabadilisha ukasema hili ndilo taili lake hapana" amesema Mwansasu mkuu wa Wilaya ya Uyui.

Pia Halmashauri imetenga  fedha za mapato ya ndani  kwa ajili ya kuendelea kununua pikipiki kwa kata ambazo hazijapata.

Matangazo

  • MIRADI SITA (06 )YA MAENDELEO ITAKAYO TEMBELEWA, KAGULIWA, ZINDULIWA NA KUWEKWA JIWE LA MSINGI NA MWENGE WA UHURU 2025 July 25, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA April 18, 2024
  • TANGAZO LA MKOPO KWA UMMA October 04, 2024
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) 2024 September 06, 2024
  • Soma zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA (NANE NANE)

    August 09, 2025
  • MAONYESHO YA NANE NANE 2025

    August 07, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UYUI YAPATA HATI SAFI

    August 08, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA UYUI KWA SHANGWE TAREHE 26 JULAI 2025

    July 26, 2025
  • Soma zote

Video

SAMIA SULUH
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari Mpya

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Tabora RAS
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani
  • Watumishi Portal
  • Tabora MC

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Uyui District Council

    Anuani ya Posta: S.L.P 610

    Simu ya Mezani: +255 26 296 6008

    Simu ya Mkononi: (1) +255 768867886

    Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali Yanayoulizwa Maranyingi
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.