Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Paulo Chacha akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui Mhe. Mohammed Mtulyakwaku Tarehe 26 Julai 2025 Katika Shule ya Sekondari Tura. Baada ya Makabidhiano hayo Mwenge wa Uhuru Umepitia miradi mbali mbali na kwa sasa Mwenge huo uko katika Kata ya Kigwa, Kijiji cha Matanda eneo la Kigwa stendi kwa ajili ya Mkesha na wasanii mbalimbali wapo tayari kwa ajili ya kutumbuiza.
Uyui District Council
Anuani ya Posta: S.L.P 610
Simu ya Mezani: +255 26 296 6008
Simu ya Mkononi: (1) +255 768867886
Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz
Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.