ZIARA YA KAMATI YA SIASA UYUI DC
Kamati ya siasa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Tabora imefanya ziara yake wilaya ya Uyui na kukagua mradi wa barabara pamoja na mitaro kata ya Isikizya kijiji cha Ilalwansimba Akizungumza na baadhi ya wananchi waliojitokeza pamoja na viongozi wa Serikali wa wilaya Mwenyekiti wa Ccm mkoa Ndugu Saidi Nkumba amewataka kuendelea kukiamini Chama chini ya uongozi makini wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anaiongoza nchi vyema pamoja nakuwezesha miradi mingi Wilaya ya Uyui-Tabora
Uyui District Council
Anuani ya Posta: S.L.P 610
Simu ya Mezani: +255 26 296 6008
Simu ya Mkononi: (1) +255 768867886
Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz
Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.