Thursday 3rd, April 2025
@VETA,UYUI.
Mkuu wa wilaya ya Uyui Mh. Zakaria Mwansasu alipokua akifungua mafunzo yaliyotolewa na CAMFED tarehe 21/6/2024 kwenye ukumbi wa VETA wilayani Uyui,mafunzo hayo yaliwahusisha walimu wa ushauri nasaha kwa shule za Msingi na Sekondari pamoja na maafisa elimu kata na walimu wakuu wa shule za Sekondari.
Aidha,Mkuu wa Wilaya ya Uyui amewataka washiriki wa mafunzo yanayotolewa na CAMFED Tanzania kuzingatia mafunzo hayo ili elimu watakayoipata waende kuipeleka kwa walengwa hasa vijana ili wawe na maadili bora katika jamii.
Uyui District Council
Anuani ya Posta: S.L.P 610
Simu ya Mezani: +255 26 296 6008
Simu ya Mkononi: (1) +255 768867886
Barua pepe: ded@uyuidc.go.tz
Copyright ©2016 UyuiDC . All rights reserved.