Imewekwa: December 6th, 2022
Watendaji wa Kata pamoja na Ma afisa Elimu kata wakijengewa uwezonaMkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Uyui juu ya utekelezaji wa majukumu yao kwa weledi....
Imewekwa: November 4th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Uyui Ndg. Kisare Makori akitoa zawadi kwa Mtendaji wa Kata ya Isikizya baada ya kata hiyo kufanya vizuri katika zoezi la ukusanyaji wa mapato katika robo ya kwanza ya wa fedha 2022/2...
Imewekwa: August 31st, 2022
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Uyui anapenda kuujulisha Umma kuwa Halmashauri ya Wilaya Uyui imepokea kiasi cha Tsh bilioni 2,096,599,768.00 kutoka Serikali kuu kwa ajili ya zoezi la sensa ya wat...